Kisiwa cha Wafu Toten, chimbuko jina la Tanga
Tanga. Mwaka 1961 Wilaya ya Tanga ilikuwa Halmashauri ya Mji ambayo ilipandishwa hadhi kuwa manispaa mwaka 1983 na kuwa Halmashauri ya Jiji mwaka 2005 mpaka sasa. Wilaya hiyo ipo kwenye Jiji la Tanga na ndio makao makuu ya Mkoa wa Tanga, ikiwa na jumla ya tarafa nne, kata 27 na mitaa 181, huku jiji hilo …