Bashungwa awakutanisha polisi na LATRA kujadili mikakati ya kuzuia ajali za barabarani
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameongoza kikao kilichoikutanisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jeshi la Polisi Tanzania pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kujadili na kuweka mikakati ya kuzuia ajali za barabarani nchini. Kikao hicho ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…