
Imefichuka! Ujanja wa Fadlu uko hapa tu
KIKOSI cha Simba kinajiandaa kuondoka Dar es Salaam kwenda Tabora kwa ajili ya pambano la kiporo cha Ligi Kuu Bara, huku kikiwa kinaongoza msimamo wa ligi hiyo, lakini ikianikwa siri zinazombeba kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids. Simba itavaana na Tabora United inayoelezwa baadhi ya nyota wake wapya waliosajiliwa dirisha dogo wakiwa hawajapata vibali kama…