Sababu ACT kuiburuza Tamisemi mahakamani
Dar es Salaam. Malalamiko dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 hatimaye yamefikia hatua ya mahakamani, baada ya Chama cha ACT Wazalendo kufungua mashauri 51 kupinga matokeo na mwenendo wake. Hatua hiyo ya ACT Wazalendo inakoleza moto wa malalamiko dhidi ya uchaguzi huo, yaliyoibuliwa na vyama vya upinzani…