Waganga wa jadi wapigwa marufuku kung’ang’ania wagonjwa

Shinyanga.  Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Dk Faustine Mulyutu, amewataka waganga wa jadi wakiona wagonjwa wenye dalili za maambukizi ya malaria wasiwang’ang’anie, bali wawashauri kwenda vituo vya afya. Dk Mulyutu ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Januari 6, 2025, wakati wa uzunduzi wa kampeni ya ugawaji vyandarua kwa wananchi iliyofanyika katika ukumbi…

Read More

Kipindupindu, ukosefu wa vyoo vyafunga mgodi wa dhahabu

Katavi. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameagiza kufungwa kwa shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu katika migodi ya Lumuka iliyopo Kijiji cha Dirifu kutokana na watu 17 kugundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa kupindupindu. Hali hiyo imekuja baada ya kutembelea maeneo ya migodi leo Jumatatu, Januari 6, 2025 na kukuta watu wanaofanya shughuli kwenye…

Read More

Walimu wa sayansi kurudishwa darasani

Tarime. Serikali inatarajia kutoa mafunzo kwa walimu zaidi ya 9,000 wa masomo ya sayansi, hisabati na Tekonolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa shule za sekondari nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha elimu. Idadi hiyo inatarajiwa kufikiwa Machi mwaka huu, ikiwa ni awamu ya kwanza ya mpango huo kabla ya awamu nyingine, ili…

Read More

Ujerumani kuwaondolea kinga wahamiaji kutoka Syria, yataka warudi kwao

Ujerumani. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani, Nancy Faeser ametangaza kuwaondolea kinga ya uhamiaji raia wa Syria wanaoishi na kufanya shughuli mbalimbali nchini humo. Takriban raia 975,000 wa Syria wanaishi na kufanya shughuli mbalimbali nchini Ujerumani, ikiwemo kuajiriwa kwa kile ambacho Nancy anadai walikuwa wakitumia kigezo cha kutetereka kwa amani nchini mwao. Tovuti ya…

Read More