Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: January 2025

  • Home
  • 2025
  • January
  • Page 173
Habari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja

January 6, 2025 Admin

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra

Read More
Habari

Waziri wa Mipango na Uwekezaji aipongeza Mati Super Brands Ltd kwa ulipaji kodi ya serikali

January 6, 2025 Admin

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewapongeza wawekezaji wazawa wa Kiwanda cha Mati Super Brands Limited kwa kulipa kodi

Read More
Habari

Rais Dkt. Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Taaluma na Utawala Taasisi ya Sayansi za Bahari Zanzibar

January 6, 2025 Admin

NA EMMANUEL MBATILO, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi ameweka jiwe la msingi la jengo la Taaluma na

Read More
Habari

Watu milioni 1.2 kuunganishiwa umeme kila mwaka ifikapo 2030

January 6, 2025 Admin

Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwaunganishia umeme watu milioni 1.2 kila mwaka kutoka 500,000 wanaounganishiwa sasa. Kutokana na hilo, katika miaka mitano 2025/30, watu milioni

Read More
Michezo

SHAGEMBE: Mchimba madini aliyemzima kiboko ya Kiduku

January 6, 2025 Admin

FRANK Shagembe  siyo jina kubwa ukitaja majina makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini lakini kwa sasa heshima yake imekuwa ikisumbua vichwa vya mabondia

Read More
Kimataifa

Kwa nini Marufuku ya Urusi ya 'Propaganda' Isiyo na Mtoto Inaathiri Haki za Kibinadamu – Masuala ya Ulimwenguni

January 6, 2025 Admin

Familia kubwa zinakuzwa kwenye mabango nchini Urusi. Credit: Sky News screengrab na Ed Holt (bratislava) Jumatatu, Januari 06, 2025 Inter Press Service BRATISLAVA, Jan 06

Read More
Michezo

Hesabu moja Kombe la Mapinduzi leo

January 6, 2025 Admin

Ushindi ndio lengo la kila timu leo wakati Zanzibar Heroes itakapocheza na Burkina Faso katika Uwanja wa Gombani, Pemba ikiwa ni muendelezo wa Kombe la

Read More
Habari

TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania

January 6, 2025 Admin

Taasisi ya Taawanu Islamic Foundation chini ya Mkurugenzi wake wa Kimataifa Hajjat Zahra Dattan (zaradattani on Instagram) imezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitanda kwa

Read More
Habari

WAZIRI JAFO AFUNGUA MAONESHO YA 11 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DIMANI ZANZIBAR

January 6, 2025 Admin

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Seleman Said Jafo(kushoto)akielekeza Jambo kwa Msaidizi  Mrajisi  wa Mali na Ubunifu Mustafa Abdulhamid wakati

Read More
Michezo

Ceasiaa haitaki makuu Ligi Kuu Wanawake

January 6, 2025 Admin

KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu kwa sasa ni kuhakikisha inasalia Ligi Kuu ili msimu ujao ijipange. Timu hiyo iko nafasi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 172 173 174 … 205 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.