Mashujaa Yabeba wawili Yanga SC
WAPINZANI wa Yanga Princess katika Ligi ya Wanawake, Mashujaa Queens yenye maskani yake jijini Dar es Salaam imesajili wachezaji wawili kwa mkopo kutoka kwa wananchi hao. Timu hiyo imemaliza duru la kwanza ikiwa katika nafasi ya tatu kwenye msimamo kwa pointi 15 ikiishusha Yanga iliyopo nafasi ya nne ikiwa na pointi 12 baada ya kucheza…