Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 173 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu ikiwemo usafirishaji wa nyara za Serikali, dawa za kulevya, wizi
Month: January 2025

Arusha. Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea ndani ya Mamlaka

Moscow. Vikosi vya Russia vimedungua ndege ya kivita ya Ukraine aina ya MiG-29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili Januari 5, 2025 na Wizara

Ujerumani. Wakati uchaguzi wa wabunge ukitarajiwa kufanyika nchini Ujerumani Februari 23, 2025, Serikali ya nchi hiyo imemshutumu bilionea wa Marekani, Elon Musk kwamba anajaribu kujiingiza

WAKATI mabosi wa KenGold wakipigia hesabu za kumsainisha aliyekuwa kiungo wa Yanga na Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, nyota huyo ameweka masharti mapya kwa viongozi

Njombe. Haki imetendeka. Hii ndio kauli inayosikika vinywani mwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya wenzao, George Sanga na wenzake wawili,

Ofisi inayosimamia usalama wa umma kwenye ukanda huo wa Wapalestina umesema makombora yaliyofyetuliwa na ndege za Israel yamesababisha vifo vya watu 23, huku jeshi la

Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero (DC), Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi pori la akiba Kilombero

IMEELEZWA kuwa kitendo cha wazazi na walezi kutopata muda wa kukaa na watoto wao na kutumia muda mwingi kulelewa na watoto wa kazi kumechanga

Arusha. Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea ndani ya Mamlaka