Kipindupindu chaitesa Mbeya, RC atoa maagizo
Dar/Mikoani. Wakati ugonjwa wa kipindupindu ukitajwa kuwapo katika halmashauri tatu za Mkoa wa Mbeya, mkuu wa mkoa huo, Juma Homera ametoa maelekezo kwa wakuu wa wilaya na kamati za afya. Pia amesema wakati mkoa huo ukiendelea kujipanga kukabiliana na ugonjwa huo, tayari maofisa wa Wizara ya Afya wametua mkoani humo kuongeza nguvu kuokoa maisha ya…