Mwanza. Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unazidi kupamba moto baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, John Heche
Month: January 2025

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na serikali katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ile inayohusiana na

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kuitekeleza kisayansi sera ya uchumi wa buluu, hivyo itaweka nguvu katika tafiti za rasilimali

WAKATI ukibaki mchezo mmoja kuhitimisha mzunguko wa kwanza wa Ligi ya Championship kwa msimu huu wa 2024-25, tayari yapo matukio mengi yaliyojitokeza, kuanzia ushindani kwa

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Kiwango cha kwanza cha sehemu yake ya pili ya Hati Fungani ya NBC Twiga, yenye thamani

Moshi. Uboreshaji na ujenzi wa barabara za njia nne kwenye baadhi ya maeneo ya miji ya Moshi na Arusha unanukia baada ya Serikali kueleza usanifu

Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024, Serikali ya Tanzania imefanikiwa kufikisha umeme katika vijiji 12,278, sawa na asilimia 99.7 ya vijiji vyote nchini. Aidha,

Moscow. Russia imesema itajibu mapigo kufuatia mashambulizi ya makombora nane ya vikosi vya Ukraine. Ukraine ilipewa na Marekani makombora hayo aina ya ATACMS. Kwa mujibu

Imeelezwa kuwa Tanzania haikuchaguliwa kwa bahati mbaya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, isipokuwa imekidhi vigezo ambavyo waandaji wamejiridhisha

Mbeya. Hofu imetanda kwa wananchi katika Mtaa wa Isonta Kata ya Itende jijini hapa kufuatia uchimbaji wa kifusi unaoendelea katika Mlima Itende wakiomba kuwepo tahadhari