Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: January 2025

  • Home
  • 2025
  • January
  • Page 179
Habari

Polisi Zambia kuwasaka mahabusu walioachiwa huru na askari kimakosa

January 5, 2025 Admin

Zambia. Jeshi la Polisi nchini Zambia linawasaka watuhumiwa walioachiliwa huru na askari polisi aliyedaiwa kulewa ili washerehekee mapokezi ya mwaka mpya 2025. Desemba 31, 2024,

Read More
Habari

Hamas yavujisha video ya mateka wa Israel, familia yamuwakia Netanyahu

January 5, 2025 Admin

Gaza. Kundi la Hamas limevujisha kipande cha video kinachomwonyesha mwanajeshi wa Israel wanayemshikilia mateka katika eneo la Gaza tangu lilipotekeleza shambulizi la kushtukiza nchini Israel

Read More
Habari

Polisi yaanza kufuatilia kupotea kwa Mutajura, gari yake yadaiwa kutelekezwa Buza

January 5, 2025 Admin

Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia taarifa za madai ya kutekwa kwa Dastan Mutajura na watu wasiojulikana jana Jumamosi Januari

Read More
Habari

KITUO KIPYA CHA AFYA CHA CURE SPECIALIZED POLYCLINIC CHAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM, CHAAHIDI KUTOA HUDUMA ZA KISASA ZA AFYA

January 5, 2025 Admin

Na Humphrey Shao, Michuzi tv Kituo kipya cha Afya cha The Cure Specialized Polyclinic kimeziduliwa rasmi leo na papo hapo kusema, kimeajiandaa kuweka kambi maalum

Read More
Michezo

Kapama akizingua, Loth anatua Fountain

January 5, 2025 Admin

WAKATI mabosi wa Fountain Gate wakiendelea kusaka kocha mpya baada ya kumtimua Mohamed Muya, pia wako katika hesabu za kumpata aliyekuwa kiungo wa Mbeya City,

Read More
Habari

Othman: Serikali inalenga kutanua fursa za elimu Zanzibar 

January 5, 2025 Admin

Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema uimarishaji wa miundombinu ya shule ni ishara kuwa, Serikali inalenga kutanua fursa ya elimu

Read More
Michezo

Kocha Yanga afichua siri ya Mpanzu

January 5, 2025 Admin

KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita ya DR Congo aliyewahi kumfundisha, winga mpya wa Simba, Elie Mpanzu amefichua kama Wekundu wa Msimbazi wanataka

Read More
Habari

SMZ yajibu hoja za ACT-Wazalendo kuhusu Kisiwa cha Fungu Mbaraka

January 5, 2025 Admin

Unguja. Wakati ACT- Wazalendo ikidai kuwa, Kisiwa cha Fungu Mbaraka kipo katika mchakato wa kutolewa leseni kwenye vitalu vipya vitano na Serikali ya Tanzania Bara

Read More
Michezo

Burkina Faso yachomoa bao ‘jiooni’

January 5, 2025 Admin

Bao la dakika ya 90 lilifungwa na Aboubacar Troure wa Bukina Faso lilizima matumaini ya Harambee ya Kenya kushinda mchezo wa kwanza wa Kombe la

Read More
Habari

Benki ya NBC Yazindua Hati Fungani ya Sh Bilioni 27.2 Kuwezesha Wajasiriamali Nchini.

January 5, 2025 Admin

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Kiwango cha kwanza cha sehemu yake ya pili ya Hati Fungani ya NBC Twiga, yenye thamani ya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 178 179 180 … 205 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.