
Serikali kununua boti ya uokozi ziwa lililoua wavuvi 10
Rukwa. Serikali inakusudia kununua boti maalumu ya kisasa kwa ajili ya shughuli za uokoaji wa wavuvi katika ukanda wa Ziwa Rukwa, hususan pale dhoruba kali ya upepo inapotokea. Kauli hiyo imetolewa leo, Jumatano, Januari 29, 2025, na Mbunge wa Kwela ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na…