Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: January 2025

  • Home
  • 2025
  • January
  • Page 181
Habari

BALOZI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA SADC

January 4, 2025 Admin

Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika Zanzibar tarehe 04 Januari, 2025 chini

Read More
Habari

SACP SENGA – FANYENI KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA

January 4, 2025 Admin

Na Issa Mwdangala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga amefanya baraza na askari wa Mkoa wa

Read More
Habari

Daraja lililovunjika Same kujengwa usiku na mchana

January 4, 2025 Admin

Same. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) wanaojenga Daraja la Mpirani wilayani Same kufanya kazi usiku na mchana

Read More
Habari

CCM IRINGA WATOA SHUKRANI KWA WANANCHI

January 4, 2025 Admin

NA DENIS MLOWE, IRINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Daudi Yassin, amesema kuwa ushindi mkubwa walioupata katika uchaguzi wa serikali za

Read More
Habari

Hashim Rungwe atoa darasa la uchaguzi Chadema

January 4, 2025 Admin

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe amewashauri wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya Chadema, kuepuka kupigana madongo badala

Read More
Habari

ASKARI WALIOFANYA VIZURI WAPEWA ZAWADI-SONGWE.

January 4, 2025 Admin

Na Issa Mwadangala Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga ametoa Zawadi kwa askari waliofanya vizuri katika

Read More
Habari

Bodaboda wamchangia Samia Sh1 milioni za kuchukua fomu

January 4, 2025 Admin

Tanga. Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan

Read More
Habari

CAICA WAJIPANGA KUDHIBITI VIPODOZI FEKI NCHINI TANZANIA

January 4, 2025 Admin

WADAU Wa Sekta ya Urembo na Mitindo wameihimiza serikali kuweka Mazingira bora ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya bidhaa

Read More
Habari

Barabara kilometa 36 kufungua Wilaya ya Same

January 4, 2025 Admin

Same. Changamoto ya usafiri na usafirishaji katika Tarafa za Mamba Myamba na Gonja wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, inaelekea kuwa historia baada ya Serikali kuanza

Read More
Habari

Walichokisema Mbowe, Lwaitama ukomo wa madaraka Chadema

January 4, 2025 Admin

Dar es Salaam. Mjadala ulioibuliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kuhusu ukomo wa madaraka umezidi kupamba moto ndani na nje ya chama

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 180 181 182 … 205 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.