
DKT. SHELUKINDO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA MAKATIBU WAKUU WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA CHA SADC
Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye Tanzania ni Mwenyekiti wa kamati hiyo kinafanyika Zanzibar Januari 04, 2025. Kikao hicho kimeitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya siasa na usalama nchini Msumbiji kufuatia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo…