Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: January 2025

  • Home
  • 2025
  • January
  • Page 183
Habari

Poland kuonyesha uthabiti wake inapoongoza Umoja wa Ulaya – DW – 04.01.2025

January 4, 2025 Admin

Kuanzia Januari 1, 2025, Hungary iliikabidhi Poland kijiti cha urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya, na hivyo kuhitimisha miezi sita ya msukosuko ndani ya

Read More
Michezo

Straika Coastal Union atwishwa zigo

January 4, 2025 Admin

KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema mshambuliaji mpya wa kikosi hicho raia wa Mali, Amara Bagayoko atakuwa na msimu bora ndani ya timu hiyo

Read More
Michezo

Mechi 10 zaishtua Simba Tunisia

January 4, 2025 Admin

Simba imetazama historia ya mechi zake 10 zilizopita za kimataifa ilizocheza ugenini na kugundua ina kazi kubwa ya kufanya katika mechi ya kesho jijini Tunis,

Read More
Habari

Watano wafariki dunia Russia, Ukraine zikikoleza vita

January 4, 2025 Admin

Kiev. Takriban watu watano wamefariki dunia katika majibizano ya makombora kati ya vikosi vya Russia na Ukraine, Ijumaa Januari 3, 2025. Miongoni mwa mashambulizi yaliyosababisha

Read More
Habari

DC Malinyi ampongeza Mkurugenzi Katimba

January 4, 2025 Admin

  MKUU wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Sebastian Waryuba, amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Khamis Katimba kwa kukusanya asilimia 82 ya mapato

Read More
Habari

Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine – DW – 04.01.2025

January 4, 2025 Admin

“Hatua hizi za serikali ya Kyiv, ambayo inaungwa mkono na washirika wa Magharibi, itakabiliwa na kisasi,” ilisema taarifa ya wizara ya ulinzi ya Urusi ikiishutumu

Read More
Habari

Uchunguzi waibua mapya mlipuko wa gari nje ya hoteli ya Trump

January 4, 2025 Admin

Las Vegas. Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya

Read More
Habari

ABIRIA WATAKIWA KUKATA TIKETI KWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIGITALI

January 4, 2025 Admin

Na Mwandishi Wetu,  Dodoma.  Abiria wametakiwa kuwajibika kwa kuhakikisha wanakata tiketi zao kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ili kupunguza changamoto ambazo wamekuwa wakikumbana nazo hasa

Read More
Habari

Kaya 400,000 zaondolewa mpango wa Tasaf

January 4, 2025 Admin

Unguja. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika utekelezaji wa afua mbalimbali, umehitimisha kaya za walengwa 400,000 nchi nzima, kati ya hizo 22,400 zinatoka Zanzibar.

Read More
Habari

Sababu ZRA kuvuka lengo makusanyo Julai-Desemba

January 4, 2025 Admin

Unguja. Wakati Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) katika kipindi cha nusu ya kwanza cha Julai hadi Desemba 2024 ikikusanya Sh429.033 bilioni sawa na ufanisi wa

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 182 183 184 … 205 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.