
Nashon: Dili la Yanga limekwamia hapa!
KIUNGO aliyekuwa anatajwa kujiunga na Yanga na ghafla dili lake kukwama, Kelvin Nashon ametoa sababu za kukwama kuwa ni kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha Singida Black Stars, huku akidai kuwa muda mwingine ikitokea nafasi atacheza. Yanga ilituma ofa ya kumtaka Nashon kwa mkopo dilisha hili la usajili na mambo yalikwenda…