BALOZI WA JAPAN ASIFU UTENDAJI KAZI WA TRA

  Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03/01/2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Katika mazungumzo yao  yaliyojikita kwenye masuala ya Kodi, Uwekezaji, kubadilishana…

Read More

Kwa nini kipato chako hakilingani na juhudi zako kazini

Dar es Salaam. Si kila mavuno yanaakisi ulichopanda. Kifungu hiki cha maneno kinabeba uhalisia wa maisha ya baadhi ya watu ambao juhudi zao katika kazi wanazofanya hazilingani na matokeo. Kama umewahi kumwona mtu anayefanya kazi bila kupumzika, kiwango cha juhudi zake kinatazamwa kuwa mfano, lakini hali ya uchumi wake imebaki bila mabadiliko, huo ndiyo muktadha…

Read More

Timu za Umoja wa Mataifa zinaunga mkono chanjo ya kipindupindu katika kambi za kaskazini mashariki – Global Issues

Mlipuko wa kipindupindu uligunduliwa katika kambi hiyo mapema Oktoba na baadaye kuthibitishwa na vipimo vya maabara. Kwa sababu Al Hol haina kituo maalum cha matibabu ya kuhara kwa majimaji makali, ni muhimu kwamba watu wengi wapatiwe chanjo haraka iwezekanavyo, Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa, UNICEFanasisitiza. “Kwa mara ya kwanza tulipokea chanjo ya kipindupindu…

Read More

KENO YA MERIDIANBET USHINDI NI RAHISI CHEZA SASA!!

HAPA tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana Meridianbet. Extra Bingo ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na gwiji wa michezo ya kasino ya mtandaoni Wazdan. Je, umechoka kusubiri mpaka kipindi fulani ili kupata droo inayofuata? Kuanzia…

Read More