RAIS WA ZANZIBAR AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 370 KIJIJI CHA BUMBWINI KIDAZINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Unjenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa…

Read More

MBEYA; WAFANYAKAZI WAWILI WA TANESCO WASHIKILIWA NA POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa shirika la umeme nchini [tanesco] linawashikilia watuhumiwa wawili Movin Joseph Mwaholi [53] Mfanyabiashara wa vifaa vya umeme na Rehema Jamson Silia [42] Mfanyabiashara wa chuma chakavu, mkazi wa nzovwe kwa tuhuma za kukutwa na miundombinu ya umeme na maji. Watuhumiwa walikamatwa Januari 02, 2025…

Read More

WANAHARAKATI WASEMA SHERIA MPYA YA ZAECA IWE MKOMBOZI WANAWAKE KUINGIA KWENYE UONGOZI

TUKIWA tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 Jitihada mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ambazo zinalenga wanawake kupata uongozi kwa kuzingatia usawa wa kijinsi na kuhakikisha 50 kwa 50 inafikiwa kwenye nafasi hizo. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi haki za wanawake za kushiriki katika uongozi, ibara ya 21 inasisitiza kuwa kila raia wa Jamhuri ya…

Read More

Taifa Linalokaribia – Masuala ya Ulimwenguni

Kuporomoka kwa jengo la ghorofa ya juu jijini Dar es Salaam hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa, kumeibua wasiwasi kuhusu kujiandaa na maafa katika jiji hilo. Credit: Kizito Makoye Shigela/IPS by Kizito Makoye (dar es salaam) Ijumaa, Januari 03, 2025 Inter Press Service DAR ES SALAAM, Jan…

Read More

Maxi, Chama na Yao kuikosa TP Mazembe kesho

Mastaa watatu wa Yanga, Maxi Nzengeli, Clatous Chama, Yao Kouassi ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao wataukosa mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya TP Mazembe kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mwingine akiwa ni Aziz Andabwile. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga, imeeleza kuwa Chama anaendelea na matibabu ya…

Read More