
Watatu kortini wakidaiwa kusafirisha kilo 1,500 za bangi
Dar es Salaam. Wakazi watatu jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi, yenye uzito wa kilo 1,501. Katika kesi ya kwanza, Mohamed Bakari (40) na Suleshi Mhairo (36), wakazi wa Mabibo wamesomewa shtaka la kusafirisha kilo 1,350 za bangi….