
Sababu wanajeshi Ukraine kutoroka mapigano dhidi ya Russia
Kyiv. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema wanajeshi wanakimbia eneo la mapigano dhidi ya vikosi vya Russia hususan kipindi cha mwaka 2024 ambapo taifa hilo limekumbwa na uhaba wa wapiganaji wa akiba. Ripoti hiyo inadai kubaini uwepo wa wanajeshi wanaokimbia maeneo ya kambi zao za kijeshi kwenye uwanja wa mapambano bila kupewa ruhusa hususan ni…