
Mambo magumu DRC, viongozi wahaha kutuliza mapigano
Dar es Salaam. Mapigano yanayondelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) yameendelea kusababisha mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwamo ubakaji wa raia na vurugu kwenye balozi sita nchini humo. Mapigano hayo yanayohusisha majeshi ya Serikali ya DRC dhidi ya kikundi cha waasi cha M23 ambacho kimetengaza kuuteka mji wa Goma ikiwamo kuushika uwanja…