
IAA yajipanga kuwa uwanja wa kutumika Afcon 2027
*Prof Sedoyeka aweka mikakati ya kuibua vipaji vya wanafunzi Na Chalila Kibuda Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kimeweka mikakati ya kuendeleza michezo nchini kwa kuwa uwanja wa kisasa katika Kampas ya Babati. Hayo aliyasema Mkuu wa Chuo hicho Profesa Eliamani Sedoyeka wakati akizungumza waandishi wa Habari katika Kampas Mpya ya Chuo hicho Babati mkoani Manyara….