
Ishara hizi katika kucha hutabiri hali ya afya yako
Dar es Salaam. Licha ya kucha kuwa urembo asili unaoongeza uzuri kwenye miguu na vidole vya mikono kwa binadamu na wanyama, wataalamu wa afya wanataja kuwa zina taarifa muhimu kuhusu hali ya afya ya binadamu. Ni muhimu kuzingatia mabadiliko ya rangi kwenye kucha zako, na vipengele vingine vinavyotumika kama tahadhari kwa magonjwa mengi. Mabadiliko kwenye…