
TPSF yabainisha mambo matano ya kuangazia mwaka 2025
Dar es Salaam. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeainisha mambo matano makuu litakayoyasimamia mwaka 2025 ili kuendelea kuongeza mchango wake katika uchumi wa nchi. Mambo hayo ni: kuendelea kusukuma ajenda ya ukuaji jumuishi ndani ya sekta binafsi, kuimarisha sera zinazotabirika, kuimarisha mashirika ya sekta binafsi, kukuza mazingira rafiki ya biashara, na kuhamasisha mazungumzo kati…