
Kabamba, Duah watimkia KenGold | Mwanaspoti
MABOSI wa KenGold wako katika harakati za kukisuka kikosi hicho ili kisishuke daraja na tayari wamemali-zana na aliyekuwa nyota wa Yanga Mzambia, Erick Kabamba na kiungo Mghana Stephen Duah aliyezichezea Stand United, Namungo na Kagera Sugar. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo ya jijini Mbeya inayoburuza mkiani mwa msimamo kwa pointi sita baada ya kushinda…