
Zaidi ya watu 10 wauawa kufuatia shambulio la Israel Gaza – DW – 02.01.2025
Maafisa wa Palestina wamesema shambulio la anga la Israel limewaua zaidi ya watu 10 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto watatu na maafisa wawili wa vyeo vya juu katika jeshi la polisi linaloongozwa na Hamas. Wakati huo huo aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant ametangaza kwamba atajiuzulu bungeni. Soma pia: Wanajeshi wa Israel wavamia na…