Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako,’ Yakabidhi BMW X1 Kwa ‘Mmachinga’ Kariakoo.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha rasmi kampeni yake ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ kwa kukabidhi zawadi ya gari ya pili aina BMW X1 kwa Bw Galus Peter Casto maruufu kama “Kweka” ambae ni mfanyabiashara mdogo ‘Machinga’ kwenye Soko la Kariakoo jijini Dar es salaama alieibuka mshindi wa zawadi hiyo kuu. Kampeni hiyo…

Read More

Malasusa: TRA kusanyeni kodi kwa uaminifu kuondoa shaka

Dar es Salaam. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwasisitiza watumishi wake wakusanya kodi kiuaminifu li walipa kodi wasiwe na mashaka juu ya fedha zinazokusanywa. Hiyo amesema itasaidia kuongeza ari ya watu kulipa kodi na kuondoa ukwepaji kodi ambao umekuwa ukilalamikiwa na TRA…

Read More

Viongozi SADC waahidi kurejesha amani DRC

Mwanza. Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umesema lengo la wanachama wa jumuiya hiyo ni kuona amani inarejea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Dk Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa jumuiya hiyo…

Read More

Mitambo minane Bwawa la Nyerere yakamilika, bado mmoja

Dodoma. Mitambo minane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika na mmoja uliobakia utakamilika mwishoni mwa mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Januari 31, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko wakati akichangia kwenye azimio la Bunge la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan…

Read More

WASIRA ATAKA VIKAO CCM VIJADILI SHIDA ZA WATU

Na Mwandishi Wetu, Bunda MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameagiza vikao vya Chama kuzungumza mambo yanayowahusu wananchi kwa lengo la kusikia changamoto zao na kuwa sehemu ya kupatiwa ufumbuzi. Amesisitiza kuwa siyo sahihi vikao hivyo kujadili mambo yasiyo na maana wakati wananchi kjatika maeneo husika wanakabiliwa na changamoto ambazo…

Read More

Wafanyabiashara Soko la Samunge wagoma, wafunga barabara

Arusha. Wafanyabiashara ndogondogo, wakiwemo wauza mbogamboga wa Soko la Samunge, wamefunga barabara ya Fire, wakidai kunyanyaswa na mgambo na kutaka kusikilizwa kero zao. Wafanyabiashara hao pia wanadai kunyanyaswa, kunyang’anywa bidhaa na kuondolewa maeneo yao bila suluhisho mbadala. Mmoja wao, Nembris Paulo (70), amesema mgambo wamekuwa wanawanyang’anya bidhaa zao. “Presha inapanda, sukari inapanda, nafika nyumbani sifai, mzigo…

Read More