
Rais Mwinyi aipongeza NMB kudhamini, kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo Shamrashamra za Miaka 61 za Mapinduzi ya Zanzibar, ilikodhamini na kushiriki Siku ya Kitaifa ya Mazoezi na Michuano ya Kombe la Mapinduzi. Pongezi hizo amezitoa mapema Jumatano Januari…