Ripoti maelezo ya hali mbaya ya haki za binadamu nchini Ukraine karibu miaka mitatu baada ya uvamizi wa Urusi – Masuala ya Ulimwenguni

Ikijumuisha kipindi cha Septemba hadi Novemba 2024, ripoti hiyo inaeleza mashambulizi makali ya Urusi kwenye maeneo yenye watu wengi, mgomo wa kimakusudi wa miundombinu ya nishati, na jitihada za kuzuia haki za kimsingi. “Nyuma ya kila ukweli na takwimu katika ripoti hii ni hadithi za hasara na mateso ya binadamu, kuonyesha athari mbaya ya vita…

Read More

Ni kazi gani hautakubali kuifanya unapokuwa msomi?

Dar es Salaam. Ni kazi gani hauko tayari kuifanya ukiwa na elimu kuanzia ngazi ya shahada? Majibu ya swali hilo yanaakisi mitazamo ya vijana hasa wasomi, ambao aghalabu hukacha baadhi ya kazi kwa mtazamo kuwa hawastahili kuzifanya kutokana na kiwango chao cha elimu. Kutokana na mtazamo huo, wengi wanajikuta wakikaa bila kazi za kufanya kwa…

Read More

‘Jamii iwakumbue watoto waishio mazingira magumu’

iDar es Salaam. Wakati msimu wa wanafunzi kurudi shuleni ukikaribia, jamii imeaswa kuwakumbuka watoto wanaoshi katika mazingira magumu ili wapate vifaa vya shule kama wanavyopata watoto wengine. Hayo yameelezwa na mfanyabiashara Celine Richard baada ya kuwakabidhi vifaa vya shule watoto hao, waishio katika mazingira magumu leo Manzese Dar es Salaam leo Desemba 31, 2024. Celine…

Read More

Usilojua kuhusu vumbi la Kongwa

Dodoma. Kati ya historia kubwa zilizopo mkoani Dodoma ni pamoja na kimbunga kilichokuwa kinasafirisha vumbi kwa umbali mrefu, maarufu kwa jina la ‘vumbi la Kongwa’. Vumbi hilo lilikuwa linatokea kwa siku nne hadi saba, Oktoba ya kila mwaka ambapo ni kipindi cha kiangazi mkoani Dodoma. Vumbi hilo lilikuwa linasababisha madhara mbalimbali, ikiwemo kuezua mapaa ya…

Read More

Kitongoji cha ajabu, hakina huduma hata moja ya kijamii

Dar/Morogoro. Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana na kukosekana kwa shule ya msingi katika eneo hilo. Siyo hao pekee, bali inaelezwa watoto wa umri wa kuwepo shuleni na watu wazima wengi wao hawajafanikiwa kusoma kutokana na wakazi wa eneo hilo kushindwa kuwaandikisha…

Read More

5G yamliza Sultan, asaka beki fasta

BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi ya timu hiyo na fasta kuamua kutafuta beki wa kati kwenye dirisha dogo ili kuokoa jahazi katika mechi zijazo za Ligi Kuu ya Wanawake (WPL). Kabla ya mchezo huo, kocha…

Read More

Wasira asimulia jinsi Werema alivyochangia upatikanaji wa rasimu ya Katiba

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe nchini, Steven Wasira  amezungumzia mchango wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali  mstaafu, Jaji Frederick Werema katika rasimu ya Katiba iliyopendekezwa mwaka 2014. Wasira ameyasema hayo leo Jumatano Januari 1, 2025 alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Werema aliyefariki dunia Desemba 30, 2024 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Wasira amesema…

Read More

KO ya Mama imefichua ukweli

NGUMI za kulipwa ndio mchezo ulioifuatia soka kwa ubora mwaka 2024, na wadau wa michezo  wanahofu michezo mingine kuendelea kudorora wakati soka ikidaiwa itazidi kuongoza kwa kutoa ajira 2025. Knockout ya Mama ndiyo michuano ya funga mwaka kwa mchezo wa ngumi za kulipwa na pia ni ushuhuda kwamba ndondi ni mchezo wa pili kupendwa nchini …

Read More