
Mikoa minne kuanza uboreshaji daftari la mpigakura
Songea. Baada ya kuanza katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma, hatimaye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpigakura umefika wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku wananchi wakionywa kuhusu kujiandikisha zaidi ya mara moja. Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INCE), kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai na adhabu yake ni faini,…