Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM?

  NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini, hasa mwaka huu ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu Rais, Wabunge na Madiwani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Jibu la swali hilo…

Read More

Mchungaji Mpambichile ‘awachorea ramani’ waumini kufikia mafanikio 2025

Kibaha. Mchungaji wa Kanisa Anglikana la Mtakatifu Gabriel, Kibaha Pwani, Exavia Mpambichile amewahamasisha waumini wake kuanza mwaka mpya wakiwa na malengo thabiti ya maendeleo, hasa katika sekta ya uchumi. Akizungumza katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Januari Mosi, 2025 kwenye kanisa hilo, Mpambichile alisisitiza umuhimu wa kuwa na malengo…

Read More

Straika Mashujaa kuibukia AS Vita

MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, ambapo nyota huyo ni mmoja wa mastaa wanaotakiwa na kocha wa kikosi hicho, Youssouph Dabo ambaye ni kocha wa zamani wa Azam FC. Mgunda…

Read More

Usaili wa walimu uliositishwa watangazwa tena

Dodoma. Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imewataka waombaji wote wa kada ya ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usahili huo utafanyika kuanzia Januari 14, 2025 hadi Februari 24 mwaka 2025. Ofisi hiyo ilitangaza kusitisha usaili huo Oktoba 17, 2024 ambapo taarifa ilitokana na tangazo la usaili la Oktoba…

Read More

Chukwu: Ubora umenirudisha Singida | Mwanaspoti

KIUNGO wa zamani wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu anayeichezea Singida Black Stars, amesema kuwa kurejea katika kikosi hicho kunadhihirisha ubora alionao. Chukwu ambye alitua Bongo msimu uliopita na kuanza kuichezea Singida huku akiwa na mkataba wa miaka miwili, alitolewa kwa mkopo kwenda Ihefu (sasa Singida Black Stars) kisha msimu huu akapelekwa tena Tabora…

Read More

Maajabu mwamuzi wa Yanga, TP Mazembe

YANGA inaingia kambini leo kuendelea na maandalizi kabla ya kukutana na TP Mazembe, Jumamosi Januari 4, lakini tayari imepewa mwamuzi wa bahati atakayeamua mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Idara ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imewakabidhi waamuzi watatu kutoka Mauritius kusimamia sheria 17 kwenye mchezo huo wakiongozwa na…

Read More

Kocha KenGold amshtukia Morisson, Yondani naye ndani

Wakati staa wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison akitua KenGold, benchi la ufundi la timu hiyo limeandaa programu maalumu kwa nyota huyo raia wa Ghana. Pia limesema kabla ya kumsainisha tayari walishazungumza naye kumpa masharti ya timu hiyo na matarajio yao ni kuona anawapa kitu cha maana ndani ya uwanja. Morrison asiyeishiwa vituko…

Read More