
Safari ya Tunisia, Ngoma atoa ujanja mapema
WAKATI kikosi cha Simba kikielekea Tunisia alfajiri ya leo kuifuata CS Sfaxien, kiungo wa timu hiyo ambaye pia ni nahodha msaidizi, Fabrice Ngoma ametuma ujumbe, huku akitoa ujanja wanaopaswa kuutumia ili kufanya kitu tofauti. Hiyo ni kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Kundi A utakaochezwa Jumapili, wiki hii, Tunisia ambapo Simba inahitaji ushindi au…