
Ulimwengu wakaribisha 2025 – DW – 01.01.2025
Auckland ulikuwa wa kwanza mkubwa kusherehekea, huku maelfu ya watu wakimiminika katikati ya mji au kupanda kwenye vilele vya milima ya volcano ili kuwa na nafasi nzuri ya kuziona fataki. Nchi za Bahari ya Pasifiki Kusini zilikuwa za kwanza kuukaribisha mwaka mpya. Migogoro ilinyamazisha sherehe za kuanza kwa 2025 katika maeneo kama vile Mashariki ya Kari, Sudan…