
Marekebisho ya hadhi maalumu yaondolewa tena bungeni
Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, ameondoa marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji, Sura 54, katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 4 wa Mwaka 2024, uliolenga kutoa utaratibu wa hadhi maalumu (Diaspora Tanzanite Card) kwa Watanzania wenye uraia wa nchi nyingine. Aidha, Dk Tulia aliondoa marekebisho ya Sheria ya Ardhi, Sura 113, katika…