
Uboreshaji daftari la wapigakura wafika Lindi
Lindi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Oktoba mwaka huu, Manispaa ya Lindi jana imeanza uboreshaji wa daftari la wapigakura na inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 102,151 kutoka kwenye majimbo mawili ya uchaguzi. Akizungumza leo Jumatano, Januari 29, 2025, Ofisa Muandikishaji wa Daftari la Wapigakura, Juma Mnwele, amesema Manispaa ya Lindi inatarajia kuandikisha wapigakura…