
Mambo 15 azimio la Dar es Salaam la nishati
Dar es Salaam. Wakuu wa Nchi za Afrika wameazimia kutengeneza mazingira bora ya kisera na kisheria ili kuwezesha ushiriki wa sekta binafsi katika uwekezaji kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati. Azimio hilo ni moja kati ya 15 yaliyotolewa jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati, uliwakutanisha…