
KAMARI HULETA MATATIZO YA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI
Na Issa Mwadangala Vijana wa Kijiji cha Masoko Kata ya Mlangali Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe wametakiwa kuacha kucheza au kujiingiza katika uchezaji wa kamari ambao kwa asilimia kubwa unapelekea matatizo ya changamoto ya afya ya akili. Kauli hiyo ilitolewa Januari 27, 2025 na Polisi Kata ya Mlangali Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Robart Kasunga…