
DC Salekwa ataka miti ipandwe hospitali
Mufindi. Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Linda Salekwa amesisitiza viongozi wa halmashauri kuhakikisha mazingira yanayoizunguka Hospitali ya Mji Mafinga yanaendelea kuboresha kwa kupandwa ukoka, miti na maua sanjari na kuweka maeneo kwa ajili ya kupumzika wagonjwa. Kauli hiyo imetolewa na Dk Salekwa leo Jumanne Januari 18 2025 alipozindua upandaji wa miti katika Halmashauri ya…