
Kigogo Chadema atangaza nia urais Zanzibar
Unguja. Licha ya kutangaza dhamira yake ya kugombea urais Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Said Mzee Said amesema bado msimamo wa chama hicho upo palepale bila ya kuwepo kwa mabadiliko ya sheria na mifumo hakutakuwa na uchaguzi wa Tanzania. Said anatangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kuvaana na…