
Bosi Alliance aagwa Mwanza, TFF kushughulikia ada ya uhamisho wa wachezaji
Mwanza. Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa na marafiki wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na shule za Alliance, James Bwire na kesho Jumamosi Februari mosi, 2025 utasafirishwa kwenda kwao Nyamwaga, Tarime kwa maziko yatakayofanyika Jumapili. Bwire ambaye enzi za uhai wake alikuwa mdau wa michezo nchini kupitia kituo cha kukuza na kulea…