
Sababu M23 kuendelea kuteka miji DRC
Goma. Kundi la waasi wa M23 wanaotajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda wanadaiwa kuuteka Mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya mapigano yaliyodumu kwa wiki kadhaa dhidi ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo (FARDC). Kwa mujibu wa tovuti ya The Guardian, eneo lililotawaliwa na mapigano hayo lenye majimbo ya…