
WANUFAIKA MPANGO WA TASAF UNGUJA WATOA SHUKRANI,WAFURAHIA MAFANIKIO
Na Mwandishi Wetu,Unguja WANUFAIKA wa Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wameushukuru mpango huo kwa kuwawezesha na kuwasaidia kuinua vipato vyao na familia zao kwa ujumla. Wametoa pongezi hizo mbele ya wadau wa maendeleo walipotembelea baadhi ya wanufaika katika shehia ya Chumbuni Mkoa wa Mjini Magharibu Unguja. Wakizungumza kuhusiana na mafanikio yao, baadhi ya wanufaika…