Yanga, Aziz KI kuna jambo, wakala afunguka

MABOSI wa klabu ya Yanga, inadaiwa wameanza hesabu mapema za kutafuta mrithi wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephaine Aziz KI anayetajwa huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 baada ya kuitumikia timu hiyo ya Wananchi kwa misimu mitatu yenye mafanikio. Kwa mujibu wa taarifa zilizotua mezani mwa Mwanaspoti, inaelezwa mwanzoni mwa msimu huu,…

Read More

Ahoua, Ateba kuna siri! Mpanzu naye atajwa Simba SC

MWANZONI mwa msimu huu, hakuna shabiki yeyote wa Simba aliyekuwa na imani na timu hiyo kufanya maajabu katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa, lakini ghafla nyota wapya 13 akiwamo Jean Charles Ahoua na Leonel Ateba wame-badilisha upepo na mtu aliyehusika kuwaleta amefichua siri ya nyota hao. Simba iliyokosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara…

Read More

Uchunguzi wa Haki unaonyesha kuteswa kwa kimfumo na kuwekwa kizuizini kwa serikali ya Assad – maswala ya ulimwengu

Matokeo kutoka kwa Tume ya Kimataifa ya Uchunguzi juu ya uhalifu wa kina wa Syria dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita ambao uliacha urithi wa kiwewe kwa Wasiria wengi, wakiwakilisha ukiukwaji mbaya zaidi wa sheria za kimataifa zilizofanywa wakati wa zaidi ya muongo mmoja wa mzozo wa kikatili. “Tunasimama kwenye mkutano muhimu. Serikali ya…

Read More

JAFO AAGIZA RUWASA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI BWAMA

Na Khadija Kalili Michuzi TV WAZIRIwa Viwanda Dkt Selemani Jafo ametoa agizo kwa Mamlaka ya Maji Vijijini Ruwasa kuchimba Kisima kirefu Kata ya Bwama iliyopo Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani. Mhe.Dkt.Jafo ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ametoa agizo hilo alipofika Bwama kwenye hafla ya kuzindua Zahanati ya Bwama ambayo imekamilika na ameizindua Januari 24 na…

Read More

“Uharaka Mkali wa Sasa” – Kubadilisha Kozi nchini Haiti – Masuala ya Ulimwenguni

Hatima ya Haiti 'ni angavu' licha ya ongezeko la kutisha la vurugu. Credit: UNOCHA/Giles Clarke Maoni na Harvey Dupiton (new york) Jumatatu, Januari 27, 2025 Inter Press Service NEW YORK, Jan 27 (IPS) – Tulipokuwa tukiadhimisha Siku ya Dk. Martin Luther King Jr. Januari 20, 2025—siku ambayo pia iliadhimisha Amerika kumkaribisha rais mpya aliyechaguliwa—tunaheshimu urithi…

Read More

Dk Mwigulu aelezea uhusiano muhimu wa umeme na uchumi

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amesema licha ya maendeleo makubwa yaloyofanyika, bado Bara la Afrika linakutana na pengo la kufikia nishati inayohitajika kwa sababu hakuna miundombinu toshelevu. Kukosekana kwa miundombinu hiyo ndiyo kunakochelewesha upatikanaji wa nishati inayohitajika ili kufikia maendeleo endelevu. Amesema hayo leo Jumatatu, Januari 27, 2025, wakati akitoa hotuba…

Read More

Waziri Kombo ajivunia ushirikiano wa China na Tanzania

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuuangalia ushirikiano wa China na Tanzania kama mfano wa maendeleo, akibainisha kuwa unatoa taswira ya maono ya pamoja kwa ajili ya mabadiliko, ustawi, na kisasa. Balozi Kombo amesema hayo jana, Januari 26, 2025 wakati…

Read More