
Hatua muhimu kwa Afrika kutimiza Ajenda 300
Dar es Salaam. Ngwe ya kwanza ya mkutano wa wakuu wa nchi Afrika kuhusu nishati imekamilika na kuibua matumaini ya kufikiwa kwa lengo tarajiwa, huku Serikali za Afrika zikitwishwa mzigo wa masuala ya kisera zinayopaswa kuyafanyia kazi. Matumaini ya kufikiwa kwa malengo hayo yanatokana na ahadi za fedha kutoka taasisi mbalimbali za kifedha, kuwezesha utekelezaji…