
Ndege pori watajwa chanzo ajali ya ndege Iliyoua 179 Korea Kusini
Seoul. Ripoti ya uchunguzi wa awali wa tukio la ajali ya ndege ya Shirika la Jeju, iliyosababisha vifo vya watu 179 huku wawili wakinusurika, imebaini uwepo wa vinasaba (DNA) na manyoya ya ndege pori kwenye mabaki ya injini ya ndege hiyo. Ajali hiyo, inayotajwa kuwa mbaya zaidi nchini Korea Kusini, ilitokea Desemba 29, 2024, katika…