
ZPL kazi inaanza upya, Junguni ikipiga mkwara
UHONDO wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) unatarajia kuendelea Januari 31 wakati duru la pili litakapoanza, huku Junguni United ikiipiga mkwara Chipukizi itakayovaana nayo kwenye Uwanja wa Polisi FFU Finya, Pemba. Junguni itavaana na Chipukizi ikiwa ni siku tatu tangu duru hilo kuanza huku Mlandege ikiwa kileleni mwa msimamo ikiwa na pointi 30 baada ya mechi…