
Usajili wa Sowah, Pokou Singida BS washtua
KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans Pluijm amesema kutua katika Ligi Kuu Bara kwa majina ya nyota wa kimataifa akiwamo Jonathan Sowah na Serge Pokou katika kikosi cha Singida Black Stars kutakiimarisha kikosi hicho. Pluijm alisema amekua akiifuatilia Ligi Kuu Bara na naamini ndani ya misimu miwili au mitatu ijayo Singida Black Stars inaweza kuwa…