
Serikali yaipongeza NMB kwa Bil. 100/- za kukopesha Wasambazaji Nishati Safi
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba Serikali itaingia kifua mbele katika Mkutano Mkuu wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika (Mission 300), unaofanyika Januari 27 na 28 jijini Dar es…