
TRC yaongeza treni, barabara Dar zikifungwa
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza huduma za treni za mijini kati ya Stesheni ya Kamata na Pugu, jijini Dar es Salaam kwa siku ya leo Januari 27 na 28, 2025, kutokana na kufungwa kwa baadhi ya barabara za kuingia katikati ya jiji kutokana na mkutano wa nishati wa wakuu wa…