
Gomez wa Fountain Gate atua Wydad Casabalanca
WAKATI ikiwa inaendelea kufukuzia saini ya nyota wawili wa Yanga, Clement Mzize na Stephane Aziz KI, klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imekamilisha dili la kumnasa mshambuliaji wa Fountain Gate, Seleman Mwalim ‘Gomez’ kwa mkataba wa miaka minne wenye thamani ya Sh891 milioni. Gomez anaichezea Fountain Gate kwa mkopo kutoka Singida Black Stars na inaelezwa…